: : : Centre for religious Education and Social Services of the Archdiocese of Dar es Salaam : : :
NYUMBANI KUTUHUSU DUKA LA VITABU SEMINA ZA NDOA BOOKING PICHA MAWASILIANO ENGLISH

Duka la Vitabu

Duka la vitabu linasimamiwa na Sr. Theresia

Duka la vitabu linauza vifaa mbalimbali vya kanisa na kijamii. Miongoni mwa vifaa hivyo ni misalaba, rozari, mishumaa, stendi za mishumaa, vitabu, nguo za misa, vitenge, tisheti, nguo za watumishi wa altare, vitabu, pete, n. k.

Duka la vitabu
Mavazi kwaajili ya adhimisho la Misa Takatifu


Mishumaa ya rangi
Mishumaa


Duka la vitabu 2
Mishumaa na misalaba ya maandamano


Duka la vitabu 3
Pete za ndoa


Duka la vitabu 3
Vitabu Mbalimbali