: : : Centre for religious Education and Social Services of the Archdiocese of Dar es Salaam : : :
NYUMBANI KUTUHUSU DUKA LA VITABU SEMINA ZA NDOA BOOKING PICHA MAWASILIANO ENGLISH

Semina za Ndoa

Kwa zaidi ya miaka hamsini, kituo cha Msimbazi kimekuwa na jukumu kubwa la kutoa semina kwa wanandoa watarajiwa. Semina hizi zimekuwa zikiwahusisha wakufunzi wa ndoa wenye uzoefu wa muda mrefu katika ndoa zao. Pia kituo kimekuwa kikitoa ushauri nasaha kwa wanandoa wenye changamoto mbalimbali katika ndoa zao. Kwa kipindi kirefu semina hizi za ndoa zimekuwa zikiratibiwa na Padre Novatus Mbaula.

Semina za ndoa 2
Mratibu wa Ndoa Jimbo Padre Novatus Mbaula akitoa mafundisho kwa Wanandoa watarajiwa katika ukumbi wa Jubilei Msimbazi Senta


Semina za ndoa
Wanandoa watarajiwa wakisikiliza mafundisho ya ndoa katika ukumbi wa Jubilei, Msimbazi Senta


Semina za ndoa
Wanandoa watarajiwa wakisikiliza mafundisho kutoka kwa Mratibu wa Ndoa Jimbo Padre Novatus Mbaula