: : : Centre for religious Education and Social Services of the Archdiocese of Dar es Salaam : : :
NYUMBANI KUTUHUSU DUKA LA VITABU SEMINA ZA NDOA BOOKING PICHA MAWASILIANO ENGLISH

Huduma ya Hosteli

Msimbazi Senta inatoa huduma za hosteli za aina mbalimbali. Huduma hizo ni:
  • Vyumba toshelevu (self-contained) vyenye kipoza hewa
  • Vyumba toshelevu vyenye feni
  • Vyumba toshelevu vyenye kipoza hewa na Televisheni
  • Vyumba vya familia vyenye veranda, kipoza hewa, friji na Televisheni


mandhari ya hosteli
Hosteli ya Fatima


Vyumba vya familia kamilifu
Vyumba vya Familia