: : : Centre for religious Education and Social Services of the Archdiocese of Dar es Salaam : : :
NYUMBANI KUTUHUSU DUKA LA VITABU SEMINA ZA NDOA BOOKING PICHA MAWASILIANO ENGLISH

Punguzo la Bei za Kumbi (Januari, 2022)

Msimbazi Senta, inawatangazia punguzo kubwa la bei za huduma mbalimbali kama ifuatavyo:-
I. Kumbi za sherehe (Jumamosi na Jumapili)

Na. Ukumbi Uwezo(watu) Bei (Tsh.)
1. Marantha 350* 2,100,000/=
2. Holland 350 1,200,000/=
3. Cardinal Adams 500 1,000,000/=


II. Kumbi za sherehe (Jumatatu mpaka Ijumaa)

Na. Ukumbi Uwezo(watu) Bei (Tsh.)
1. Marantha 350* 1,680,000/=
2. Holland 350 840,000/=
3. Cardinal Adams 500 750,000/=


Karibuni sana, tutafurahi kuwahudumia