Kumbi za Sherehe
Msimbazi Senta ina kumbi za sherehe zilizofungwa (zenye AC) na za wazi. Gharama ya kukodi kumbi hizi ni za chini kulinganisha na gharama halisi ya huduma ambatanishi zinazopatikana hapa Kituoni. Kumbi zetu zimesajiliwa na Mamlaka husika.
Jukwaa la Marantha likiwa limepambwa

Ukumbi wenye kipoza hewa (Marantha) ukiwa umepambwa

Ukumbi wenye kipoza hewa - Marantha

Ukumbi wa Cardinal Adams ukiwa unapambwa kwaajili ya sherehe

Ukumbi wa Wazi - Cardinal Adams
Ukumbi wa Wazi - Cardinal Adams