Duka la Vitabu
Duka la vitabu linauza vifaa mbalimbali vya kanisa na kijamii. Miongoni mwa vifaa hivyo ni misalaba, rozari, mishumaa, stendi za mishumaa, vitabu, nguo za misa, vitenge, tisheti, nguo za watumishi wa altare, vitabu, pete, n. k.Wasiliana nasi kupitia: +255 776 234 554
Ofisi Mpya
Mavazi kwa ajili ya adhimisho la Misa Takatifu
Vitabu na Visakramenti mbalimbali
Vitabu zaidi...
Vikapu vya Sadaka