Huduma ya vyumba vya kulala (hosteli)
Msimbazi Senta inatoa huduma za hosteli za aina mbalimbali. Huduma hizo ni:- Vyumba toshelevu (self-contained) vyenye kipoza hewa
- Vyumba toshelevu vyenye feni
- Vyumba toshelevu vyenye kipoza hewa na Televisheni
- Vyumba vya familia vyenye veranda, kipoza hewa, friji na Televisheni
Chai ya asubuhi ni BURE
Kama sababu ni Halali:-
i. Badiliko la tarehe ya huduma ya malazi utatozwa asilimia kumi (10%) ya gharama jumla.
ii. Kubatilisha (Cancellation) huduma ya malazi utatozwa asilimia hamsini (50%) ya gharama jumla.
iii. Kubadili chumba ulichoomba kutoka chumba cha bei kubwa kwenda chumba cha bei ndogo utalipia bei ya chumba ulichotoka.
Simu: +255 0746 082 122
Karibuni Sana

Hosteli ya Fatima

Vyumba vya Familia