Vyumba vya Mikutano
Msimbazi Centre, ina vyumba vya mikutano vya aina mbalimbali kama inavyoonekana hapa:-Na. | Jina la chumba | Uwezo (watu) | Bei (TZS) |
1. | Bishop Libena | 150 | AC: 531,000/-, Feni: 354,000/= |
2. | Bishop Nzigilwa | 150 | AC: 531,000/-, Feni: 354,000/= |
3. | Amecea | 60 | AC: 259,600/-, Feni: 212,400/= |
4. | Chumba namba 8 | 30 | AC: 188,800/-, Feni: 141,600/= |
5. | Chumba namba 9 | 20 | AC: 188,800/-, Feni: 141,600/= |
Pia huduma ya projekta, maiki na spika zake vinakodishwa.
Wi-Fi ni BURE.
Ukumbi wa Bishop Nzigilwa
Chumba namba 8