Vyakula
Msimbazi Senta ina wapishi mahiri na inatoa huduma ya chakula kwa vikundi vikubwa, sherehe na kwa sahani moja moja (mgahawa). Huduma hizi zinasimamiwa na Sr. Marthamaria.Skonzi Murua
Moja ya pishi mashuhuri (Ndizi Nyama)
Nyama ya Ng'ombe
na zaidi...
Wahudumu Mahiri
Mpishi Mahiri akiandaa chapati
Karibuni Sana Msimbazi Senta